𝐑𝐂 𝐒𝐇𝐈𝐍𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐀𝐎𝐍𝐆𝐎𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐏𝐈𝐍𝐃𝐔𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐎
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Jarida la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga la Januari–Machi 2026 linaonesha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta tofauti ikiwemo miundombinu, afya, elimu, kilimo, uwekezaji na huduma za kijamii.
Katika kipindi hiki, serikali imeendelea kuboresha huduma kwa wananchi kupitia miradi ya maendeleo na usimamizi wa karibu wa shughuli za kiuchumi na kijamii.
Jarida hilo pia linaonyesha jitihada za kukuza uchumi wa mkoa kwa kuongeza uwekezaji na kuboresha mazingira ya huduma za umma.
Kwa ujumla, linaonesha Shinyanga ikiendelea kupiga hatua katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi kupitia utekelezaji wa mipango ya serikali.
JARIDA LA MKOA WA SHINYANGA 2026
Toleo No.001 | January - March 2026
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine

Maoni
Chapisha Maoni