Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2026

π‡π€πˆπ‰π€π–π€π‡πˆ πŠπ”π“πŽπŠπ„π€ πŠπ–π€ πŒπ€π‘π€ π˜π€ πŠπ–π€ππ™π€!

Picha
π˜•π˜’, π˜›π˜©π˜’π˜₯𝘦𝘰 π˜”π˜¦π˜₯π˜ͺ𝘒   ˒ʰⁱⁿʸᡃⁿᡍᡃ – α΅˜αΆœΚ°α΅ƒα΅α΅˜αΆ»β± ʷᡃ ˒ᡉʳⁱᡏᡃˑⁱ ʸᡃ Κ·α΅ƒβΏα΅ƒαΆ α΅˜βΏαΆ»β± (Λ’α΅—Κ²α΅’Λ’α΅’) 2026/2027 α΅˜α΅α΅‰ α΅α΅˜Κ·α΅ƒ ᡐⁱᡒⁿᡍᡒⁿⁱ ᡐʷᡃ αΆœΚ°α΅ƒα΅α΅˜αΆ»β± ᢻᡉⁿʸᡉ α΅α΅›α΅˜α΅—α΅ƒβΏα΅’ α΅α΅α΅˜α΅‡Κ·α΅ƒ α΅α΅˜Κ·α΅ƒΚ°β± α΅α΅˜Λ’Κ°α΅˜Κ°α΅˜α΅ˆβ±Κ·α΅ƒ αΆœΚ°α΅˜α΅’βΏβ± ʰᡃᡖᡒ, ʰᡃˑⁱ ᡃᡐᡇᡃʸᡒ ʰᡃⁱʲᡃʷᡃʰⁱ α΅α΅˜Κ²β±α΅—α΅’α΅α΅‰αΆ»α΅ƒ ᡏʷᡃ ᡏⁱʷᡃⁿᡍᡒ ʰⁱᡏⁱ ᡏⁱʰⁱ˒ᡗᡒʳⁱᡃ. ᡗᡃᡃʳⁱᢠᡃ αΆ»β±βΏα΅ƒαΆ»α΅’α΅‰βΏα΅ˆα΅‰Λ‘α΅‰α΅ƒ α΅α΅˜Λ’α΅ƒα΅α΅‡α΅ƒα΅ƒ ᢜʰⁱⁿⁱ ᢜʰⁱⁿⁱ ᢻⁱⁿᡃᡉˑᡉᢻᡃ α΅α΅˜Κ·α΅ƒ α΅‡α΅ƒα΅ƒα΅ˆΚ°β± ʸᡃ ʷᡃᡍᡒᡐᡇᡉᡃ ᡗᡃʸᡃʳⁱ ʷᡃᡐᡉᡃⁿᢻᡃ α΅α΅˜Κ·α΅ƒΛ’β±Λ‘β±Λ’Κ°α΅ƒ ᡐᡃˑᡃˑᡃᡐⁱᡏᡒ ʸᡃᡒ ᡏʷᡃ α΅—α΅˜α΅α΅‰ ʸᡃ α΅˜αΆœΚ°α΅ƒα΅α΅˜αΆ»β± ᡏʷᡃ ⁿʲⁱᡃ ʸᡃ α΅‡α΅ƒΚ³α΅˜α΅ƒ ʳᡃ˒ᡐⁱ, ʷᡃᡏⁱᡖⁱⁿᡍᡃ α΅Κ·α΅‰βΏα΅‰βΏα΅ˆα΅’ ᡐᢻⁱᡐᡃ ʷᡃ α΅˜αΆœΚ°α΅ƒα΅α΅˜αΆ»β± Κ°α΅˜α΅’ Κ°α΅ƒα΅—α΅˜α΅ƒ ʰⁱʸᡒ β±α΅α΅‰α΅α΅˜Κ²α΅ƒ α΅α΅˜αΆ α΅˜α΅ƒα΅—β±α΅ƒ α΅α΅ƒα΅ˆα΅ƒβ± ᡐᡇᡃˑⁱᡐᡇᡃˑⁱ ΚΈα΅ƒΛ‘β±ΚΈα΅’β±α΅‡α΅˜α΅α΅ƒ α΅‡α΅ƒα΅ƒα΅ˆα΅ƒ ʸᡃ ᡐᡃᡗᡒᡏᡉᡒ α΅α΅˜α΅—α΅ƒβΏα΅α΅ƒαΆ»Κ·α΅ƒ, ⁱᡏⁱʷᡉᡐᡒ ʰᡒʲᡃ ᡏᡘʰᡘ˒ᡘ α΅˜Λ’β±α΅α΅ƒα΅β±αΆ»β± ʷᡃ α΅α΅˜Κ³α΅ƒ ⁿᡃ α΅˜Κ°α΅ƒΛ‘α΅ƒΛ‘β± ʷᡃ α΅αΆœΚ°α΅ƒα΅α΅ƒα΅—α΅’ ᡐᢻⁱᡐᡃ. ʰᡃᡗᡃ ʰⁱᡛʸᡒ, Κ°α΅ƒα΅ˆβ± α΅α΅˜αΆ β±α΅β±α΅ƒ ˒ᡃ˒ᡃ, Κ°α΅ƒα΅α΅˜βΏα΅ƒ ᡗᡃᡃʳⁱᢠᡃ ʳᡃ˒ᡐⁱ ⁱˑⁱʸᡒᡗᡒˑᡉʷᡃ ⁿᡃ α΅—α΅˜α΅α΅‰ ʸᡃ α΅˜αΆœΚ°α΅ƒα΅α΅˜αΆ»β± ᡏᡘʰᡘ˒ᡘ α΅α΅˜α΅–α΅’α΅α΅‰α΅ƒ α΅ƒα΅˜ α΅α΅˜Λ’Κ°α΅˜α΅Κ°α΅˜Λ‘β±α΅β±α΅ƒ ᡐᡃˑᡃˑᡃᡐⁱᡏᡒ ʰᡃʸᡒ. Κ·α΅ƒβΏα΅ƒαΆ α΅˜βΏαΆ»β± ʷᡃᡐᡉᡒⁿᡉᡏᡃⁿᡃ α΅α΅˜α΅α΅ƒΚ·α΅ƒβΏΚΈβ±α΅α΅ƒ, ᡃᡐᡇᡃᡖᡒ α΅‡α΅ƒα΅ƒα΅ˆΚ°β± ʷᡃⁿᡃᡗᡉᡗᡉᡃ ᡐᡃᡗᡒᡏᡉᡒ ʸᡃˑⁱʸᡒᡗᡃⁿᡍᡃᢻʷᡃ ʰᡘᡏᡘ ʷᡉⁿᡍⁱⁿᡉ ʷᡃᡏⁱ˒ⁱ˒ⁱᡗⁱᢻᡃ α΅α΅˜Κ·α΅ƒ ⁿⁱ ˑᡃᢻⁱᡐᡃ ʰᡃᡏⁱ β±α΅—α΅‰βΏα΅ˆα΅‰α΅α΅‰ ᡏᡃᡇˑᡃ ʸᡃ α΅α΅˜α΅α΅˜α΅‡α΅ƒΛ‘β±α΅α΅ƒ ᡏʷᡃ ᡐᡃᡗᡒᡏᡉᡒ ʰᡃʸᡒ. Kwa ujumla  ʷᡃᡏᡃᡗⁱ α΅α΅ƒαΆœΚ°α΅’ ʸᡃᡏⁱᡉˑᡉᡏᡉᢻʷᡃ ᡏʷᡃ α΅—α΅˜α΅α΅‰ ʸᡃ α΅˜αΆœΚ°α΅ƒα΅α΅˜αΆ»β±, ʷᡉⁿᡍⁱ Κ·α΅ƒβΏα΅ƒΛ’α΅˜α΅‡β±Κ³β± α΅α΅˜α΅’...

𝐇𝐀𝐖𝐀 π‰π€πŒπ€π€ πŒπŒπ„π˜π€πŠπ€π•π˜π€π†π€ π”π‚π‡π€π†π”π™πˆ π’π“π‰πŽπ’πŽ 2026/2027! πŸ”₯

Picha
  Na, Thadeo Media    Leo Machi 26, 2026 Shinyanga – Mjadala umeendelea kupamba moto kufuatia matokeo ya uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi (STJOSO) 2026/2027, huku baadhi ya wagombea waliopoteza wakionekana kutoridhishwa na mwenendo mzima wa uchaguzi huo. Miongoni mwa majina yanayotajwa sana ni pamoja na Mh. Vicent Chacha, Mwl. Moris Daudi, Sitta Matias pamoja na Sharon , ambao kwa nyakati tofauti wameonekana kuwa na ushawishi mkubwa miongoni mwa wanafunzi kabla ya uchaguzi huo. Wafuasi wa wagombea hao walianza kutoa kauli kali, wakisisitiza kuwa hawako tayari “ kuludi vyuma”, wakimaanisha kuwa bado wanashikilia misimamo yao na hawajaridhika kirahisi na matokeo yaliyotangazwa. Vicent Chacha, anayejulikana kwa msimamo wake thabiti na uzoefu wa uongozi, anaendelea kutajwa kama kiongozi mwenye ushawishi mkubwa hata baada ya matokeo. Kwa upande wake, Mwl. Moris Daudi , aliyekuwa na wafuasi wengi kutokana na ukaribu wake na wanafunzi na shughuli za kijamii, bado anaonekana ku...

MATOKEO YA UCHAGUZI STJOSO 2026/2027 YAZUA MJADALA

Picha
Na Mwandishi wetu Leo machi 25, 2026 Shinyanga – Matokeo ya uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi (STJOSO) 2026/2027 yametangazwa, huku jumla ya kura 104 zikipigwa, ambapo kura 6 zimetajwa kuharibika. Kwa mujibu wa matokeo hayo, Maduhu ameongoza kwa kupata kura 43, akifuatiwa na Sharon aliyepata kura 21. Nafasi ya tatu imechukuliwa na Vicent kwa kura 16, huku Moris Daudi akipata kura 14 na Sitta Matias akipata kura 10. Hata hivyo, Tume ya Uchaguzi imetoa muda wa wiki moja kwa wagombea au wanafunzi wenye malalamiko kuwasilisha pingamizi rasmi kuhusu mchakato mzima wa uchaguzi huo. Malalamiko Yalianza Kujitokeza Baadhi ya wagombea kueleza kutoridhishwa na mwenendo wa uchaguzi huo, wakidai kuwa haukuwa wa haki na usawa. Miongoni mwa hoja zilizotolewa ni pamoja na madai ya kuwepo kwa mkanganyiko wa sanduku la kura, ambapo inadaiwa kuwa sanduku hilo Lili ondoka Kwa mazingira ya kutatani hasa baada ya kumaliza kupiga kura huku ikielezwa wazi kuwa makampeni meneja Hawa kuhusiswa kuhusu uamzi huo ...

Mwl. Moris Daudi Afunga Kampeni Chuoni STJOSO: “Nitaanza na Haya”

Picha
  Na, Mwandishi wetu Chuoni  Leo, mgombea wa nafasi ya urais wa serikali ya wanafunzi wa ST. Joseph College (STJOSO) 2026/2027, Mwl. Moris Daudi, amefunga rasmi kampeni zake chuoni, akibeba kaulimbiu yake ya “ Mabadiliko Chanya ni Sasa” . Katika hotuba yake ya kufunga kampeni, Moris aliwahakikishia wanafunzi kwamba endapo atachaguliwa, ataanza na haya: “ Nitaanza na haya: Kuboresha computer lab na studio ya uandishi wa habari ili kuhakikisha wanafunzi wanapata mazingira bora ya kujifunzia. Kuimarisha huduma ya Wi-Fi chuoni, ili intaneti iwe ya haraka, thabiti na inafaa kwa masomo na utafiti. Kuangalia upya na kuboresha utaratibu wa tisheti za Jumatano na Ijumaa , kuhakikisha ubora unaowiana na mahitaji ya wanafunzi. Kuboresha mazingira ya hosteli kuwa salama, safi na rafiki – jambo ambalo bado linahitaji tathmini ya moja kwa moja. Kushughulikia changamoto za kiusafiri, kuhakikisha usafiri wa wanafunzi ni salama, wa haraka na unalingana na ratiba ya masomo.” Kwa upande wake ...

MWL. MORIS DAUDI AZINDUA KAMPENI KWA KISHINDO STJOSO 2026/2027

Picha
Picha: Mwalimu moris akizungumza  Na, milu malimi Leo machi 23, 2026 Mgombea wa nafasi ya urais wa serikali ya wanafunzi ST. Joseph College (STJOSO) kwa mwaka 2026/2027 , Mwl. Moris Daudi, amezindua kampeni zake kwa kishindo, akibeba kaulimbiu ya “ Mabadiliko Chanya ni Sasa ,” huku akiahidi kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili wanafunzi chuoni hapo. Picha: Chanzo Thadeo Media library   Moris Daudi, anayefahamika kama mwanamichezo maarufu na mshiriki wa mashindano ya Miss na Mrs katika miaka ya 2024/2025 na 2025/2026 yakijulikana kama st Joseph talent , ameanza kampeni zake kwa mvuto mkubwa miongoni mwa wanafunzi. Mbali na umaarufu huo, pia anajulikana kwa moyo wake wa kujitolea, ucheshi wake, urafiki na wenzake, Picha mwl. Moris tour 2025/26 Akiwa na baadhi ya washiliki Chanzo Thadeo Media library  pamoja na uzoefu wa tour 2024/25   Picha Chanzo Thadeo Media library   pia Kwa moyo wake wa kujitolea kufundisha kufundisha Jomu  School Shinyan...