Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2026

DONDOO KUBWA KUTOKA KURASA ZA MAGAZETI YA 01, FEBRUARY, 2026

Picha
Hii ni Thadeo Media  

"BREAKING: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2025 YAMEWALETEA FURAHI NA SHANGWE"

Picha
Hii ni Thadeo Media    BOFYA KUTAZAMA MATOKEO BOFYA KUTAZAMA MATOKEO

DONDOO KUBWA KUTOKA KURASA ZA MAGAZETI YA JANUARY 31, 2026

Picha

EPUKENI KUFANYA BIASHARA SEHEMU HATARISHI

Picha
 Hii ni Thadeo Media   Wafanyabiashara wanaouza mazao ya chakula na mbogamboga pembezoni mwa Daraja la Kidalu katika Manispaa ya Shinyanga wametakiwa kuchukua tahadhari makini wanapoendelea na shughuli zao, kutokana na hatari kubwa ya ajali inayoweza kutokea katika eneo hilo. ​Wito huo umetolewa na Sajenti David Ndimila wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Shinyanga, wakati akizungumza na wafanyabiashara hao ambapo amesema kuwa kusimama karibu na eneo la daraja ni hatarishi kwa sababu magari na vyombo vya moto vinaweza kukosa uelekeo jambo ambalo linaweza kusababisha ajali kwa wafanyabiashara, wateja na watumiaji wengine wa barabara. ​Aidha, aliwasisitiza wanapofanya biashara pembezoni mwa barabara kuhakikisha wanaweka alama au vitu vinavyoonekana vizuri vya onyo ili kuwatangazia madereva kuhusu uwepo wao, jambo litakalosaidia kupunguza hatari za ajali. Kwa ujumla, Jeshi la Polisi Shinyanga linasisitiza kuwa usalama wa wafanyabiashara na wateja katika eneo la Daraja la K...

DONDOO KUBWA KUTOKA KURASA ZA MAGAZETI YA JANUARY 30, 2026

Picha
  Hii ni Thadeo Media