𝐂𝐇𝐄𝐓𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐙𝐈𝐑𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐒𝐓𝐉𝐎𝐒𝐎 2𝐎25/26



Na, Thadeo Gelema 

Katika hafla ya uapisho iliyofanyika Jumatatu, Aprili 13, 2026 chuoni hapo, viongozi mbalimbali walitunukiwa vyeti vya heshima kutokana na mchango wao katika uongozi na maendeleo ya wanafunzi.


Miongoni mwa waliotunukiwa heshima hiyo ni Thadeo Gelema, aliyekuwa Waziri wa Habari STJOSO 2025/26, akitambuliwa kwa juhudi zake katika kukuza sekta ya habari ndani ya chuo hicho.

Tuzo hiyo imeibua mjadala miongoni mwa wanafunzi na wadau wa habari, wakijiuliza iwapo hii ni ishara ya mwanzo mpya wa kuimarika kwa Thadeo haswa katika masuala ya habari

📲 Endelea kufuatilia na soma zaidi 👇👇
@thadeomedia5.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐍𝐄𝐖𝐒: 𝐌𝐇𝐄. 𝐃𝐊𝐓. 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐌𝐄𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐔𝐓𝐄𝐔𝐙𝐈

BREAKING: RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MBALIMBALI

𝐓𝐀𝐇𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐈: 𝐏𝐎𝐋𝐈𝐒𝐈 𝐖𝐀𝐊𝐀𝐍𝐔𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐕𝐔𝐌𝐈 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐈 𝐔𝐃𝐎𝐌 𝐊𝐔𝐖𝐀𝐖𝐀