Machapisho

Siasa

Picha
WAGOMBEA UBUNGE CCM MAJIMBO YA MKOA WA SHINYANGA HIYAPA – ORODHA KAMILI YA MAJINA JULAI 29, 2025 WAKO YUMO? Tuesday, July 29, 2025

Magazeti

Picha
Vichwa vya Habari Leo Julai 29, 2025: CCM Yafanya Mchujo wa Historia – Kikao Chamalizika Usiku Mnene!  July 29, 2025 Magazeti              

Maisha ya chuoni

Picha
 PICHA: MAPUMZIKO YA MTIHANI – WANAFUNZI WAKIJIANDAA NA MTIHANI WA MCHANA ST. JOSEPH’S COLLEGE  St. Joseph’s College – Shinyanga Jumatatu, 28 Julai 2025 Siku ya kwanza ya mitihani ya mwezi Julai chuoni St. Joseph’s College Shinyanga imeanza rasmi leo asubuhi kuanzia saa 2:00. Baada ya mtihani wa awali, wanafunzi walipata mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na mtihani wa mchana unaoanza saa 6:00. Katika muda huo wa mapumziko, wanafunzi wameonekana wakijisomea, kujadiliana na kutafakari mada mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mtihani wa mchana. Sehemu mbalimbali za chuo zilijaa utulivu huku mazingira yakibeba hali ya kujiandaa kwa bidii na umakini hasa. Mitihani hii imepangwa kuendelea hadi Ijumaa, Agosti 1, 2025, kwa ratiba maalum iliyotolewa mapema wiki iliyopita. Wanafunzi wakipumzika kwa muda mfupi wakisubiri mtihani wa saa 6:00 mchana

Magazeti

Picha
 Magazeti ya Tanzania Julai 28, 2025: Vichwa Vikuu Leo Kutoka Majarida  Maarufu Thadeo Media 

Maisha ya chuoni

Picha
 ST. JOSEPH’S – WIKI YA KUJIPAMBANUA KIUWEZO YAWASILI: BAADA YA WANAFUNZI KUKABIDHIWA NAMBA, VYUMBA KUPANGWA, MITIHANI KUANZA KESHO – JULAI 28 jumapili, 27 Julai 2025 Thadeo Media Wiki ya mwisho kabla ya kuanza rasmi kwa mitihani ya muhula imehitimishwa leo kwa pilikapilika nyingi na maandalizi makubwa, yakiwamo ugawaji wa namba rasmi za mtihani na upangaji wa vyumba kwa uangalifu mkubwa. Hali hii inaonyesha wazi kuwa wiki ya kujipambanua kiu uamuzi kielimu imetimia. NAMBA ZA MITIHANI ZILIGAWIWA KWA UMAKINI KWA UJUMULA  Katika mfululizo wa maandalizi yaliyodumu kwa wiki nzima, wanafunzi walipokea namba za mitihani kwa awamu na kwa makundi tofauti kulingana na ratiba na utekelezaji wa masharti. Ugawaji huu ulizingatia kwa karibu masharti muhimu ikiwemo malipo ya ada, kukamilisha coursework, na kufikia alama zinazokubalika kwenye test za ndani. Mchakato mzima uliwekwa chini ya usimamizi wa idara ya mitihani na menejimenti ya chuo, kuhakikisha kila mwanafunzi anapata nambari yake...

Maisha ya chuoni

Picha
 ZIARA YA MAADILI YA KIUTU ILIFANA ST. JOSEPH'S COLLEGE – WAHITIMU WALIJIFUNZA KWA VITENDO KUGUSA MAISHA. Bushushu – Shinyanga Society Offers  Taarifa rasmi: Jumapili, 27 Julai 2025 Katika kuendeleza maadili ya utu, huruma na mshikamano wa kijamii, wanafunzi wa St. Joseph’s College – Shinyanga wamehitimisha kwa mafanikio ziara ya kipekee ya kuwatembelea watoto wenye mahitaji maalum katika kituo cha Shinyanga Society Offers – Bushushu. Ziara hiyo iliyofanyika jana, Jumamosi, Julai 26, iliwakutanisha wanafunzi, viongozi wa serikali ya wanafunzi na walimu walezi katika safari ya kiroho yenye kugusa mioyo na kubadili mitazamo. Wakiwa kituoni, wanafunzi walishiriki shughuli mbalimbali ikiwemo:  SHUGHULI WALIZOFANYA: Kukabidhi misaada ya kijamii (sabuni, vifaa vya shule, na fedha) Kuzungumza na watoto na walezi wao Kujifunza changamoto za maisha ya wenye mahitaji maalum Kutoa neno la faraja, upendo na tumaini kama  “Kuwahudumia waliopuuzwa si ukarimu wa muda mfupi, bali ni...